Hii mikwara mizito...

Hii mikwara mizito...



11817130_10152839691771599_7938127419341281027_n.jpg
Hahaaaaa! imarisha ulinzi kabla hujaimarishiwa...lakini kwa suala la kupundula mzee anajifariji tu hapo..
 
Hahahaha mzee amejizatiti dhidi ya wavulana waharibifu
 
Ntaonana na tigo wataniazima yale wanavaaga barabarani.ntaenda tu maana hamna namna.
 
Mama wa huyo Mzee mshika bunduki ... mke wa huyo mshika bunduki ... NAO PIA walishikiwa bunduki.
Natumaini hoja imeeleweka ..:A S-baby:
 
Back
Top Bottom