Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,696
- 99,614
kumbe kuna story behind! sijawahi kujua sio siri duhh.. asante kunifumbua macho dada'ake!Muulize utajua kwa Nini wasukuma tinachekwa japo vijiji vyetu havina hali mbaya kama ya wanaotucheka pamoja na unyama tukio fanyiwa kwa kivuli cha uzalendo