Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 18,663
- 13,488
Kwa elimu yangu ya standard seven nimeelewa kwamba "Usiendeshe na usinywe"Je ni lugha fasaha hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa elimu yangu ya standard seven nimeelewa kwamba "Usiendeshe na usinywe"
Kwa elimu yangu ya standard seven nimeelewa kwamba "Usiendeshe na usinywe"
Kwani kunywa ni kulewa?je maji nayo si tunakunywaUsiendeshe ukiwa umekunywa(kulewa).
Ha ha ha ha eti kutumia kingaHiyo Lugha Driver Wataielewa zaidi
Ki Mktadha ,inatumika sana kwa hao wenzetu wenye Magari
Ni sawa na kumuambia Mzinzi "Kumbuka kutumia KINGA"
Kama sio Mzinzi ,hutajua ni kinga gani kaizungumzia
Ova
Teflon_Don
Wakubwa mnajua...Kwani ni kufanya mapenzi!Ukiwa mkubwa utaelewa nini walimaanisha hapo
Ila kwa sasa jua tu wewe ndie kilaza maana haujui ulisemalo. Wakubwa tunaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du ukaidi tenaUkaidi tu ila kilochoandikwa hapo kinaeleweka ukisoma ukiwa seriously.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Itakuwa ni Kinywaji...maana ndo kinachonywewaDu...kunywa nini
Sent using Jamii Forums mobile app