Asante kwa ufafanuzi mkuuIna maana kuwa mtoto mtii kwa mzazi atapewa vinono kila vitakapopatikana lakini mwenye kiburi atakula siku za sikukuu tu. Mama anaweza kuficha kitu kizuri ili ampe mtoto mtii kwake. Lakini mtoto mkaidi atakula vinono siku za sherehe tu maana hapo kunakuwa Hamna namna ya kumnyima.
Methali hii hutumika kumsema mtu jeuri ili ajue kwa ujeuri wake huenda akakosa mazuri mengi.
Kwamba sio methali rasmi?
Kwamba sio methali rasmi?
Alitakiwa kuanza na nomino ya mtoto mkaidi ......Ni methali rasmi hiyo ila kwa ambao wamekuwa wakiisikia vijiweni ikitumika wanahisi ni ya kihuni.
Asante kakaIna maana kuwa mtoto mtii kwa mzazi atapewa vinono kila vitakapopatikana lakini mwenye kiburi atakula siku za sikukuu tu. Mama anaweza kuficha kitu kizuri ili ampe mtoto mtii kwake. Lakini mtoto mkaidi atakula vinono siku za sherehe tu maana hapo kunakuwa Hamna namna ya kumnyima.
Methali hii hutumika kumsema mtu jeuri ili ajue kwa ujeuri wake huenda akakosa mazuri mengi.