Hii mboga inafaida gani mwilini?

Hii mboga inafaida gani mwilini?

Dagaa + mchicha + ugali(mixer sembe na muhogo).. Nikikutembelea nikakuta unaandaa hii menu ntaanzisha stori za mpira ntachanganya siasa humohumo hujapumua nakusimulia series za wakorea ili tu niusubiri huu msosi.. Napenda sana
 
Kuanzia kesho ndio mboga yangu

Jr[emoji769]
He! kwa hiyo tuogope kuila kwaajiri ya UVIKO kwa kuwa inaondoa umbali kati yako na jirani yako! vinginevyo siku ya kula ikutane na kodi ya mwenye nyumba au mtoto kafukuzwa ada. utatia akili
 
Kaeni chini na huyo mpishi it seems mna mgogoro maana sio kwa mapishi hayo aliyokupikia.
 
Back
Top Bottom