body building food
Sawa lakini dagaa sio mbogando dagaa ishapikwa,
Mmmh sijui nazeeka!! mbona mie sijaona mbga kwenye hiyo picha? Yaani mie nimeona dagaa tu
Mmmh sijui nazeeka!! mbona mie sijaona mbga kwenye hiyo picha? Yaani mie nimeona dagaa tu
Daaah wanakosea sana hadi inaanza kuzoeleka ati nyama nayo ni mboga na samaki pia ni mboga. Sisi waswahili mboga ni mchicha, kisamvu nakadhalikaKuna Jamii wakisema mboga wanamaanisha zile za majani na wengine inajumuisha na dagaa, samaki nyama n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
mi najua mboga nikile kinachosindikiza/rahisisha ulaji. Kama vile ugali na mboga ( nyama, dagaa, majani).Daaah wanakosea sana hadi inaanza kuzoeleka ati nyama nayo ni mboga na samaki pia ni mboga. Sisi waswahili mboga ni mchicha, kisamvu nakadhalika
Madini yapo mengi,sema madini gani?😃😃Madini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio ssahihi kabisa hivyo vyote vinaitwa vitoweomi najua mboga nikile kinachosindikiza/rahisisha ulaji. Kama vile ugali na mboga ( nyama, dagaa, majani).
Au sio sahihi?