Hii mambo zenu pelekeni huko Bara!

Hii mambo zenu pelekeni huko Bara!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
1605871_seyi_jpg62a2b59c34edfb09f4368bf996e12d2e

Hii mambo zenu pelekeni huko Bara huku visiwani vaeni hijab, mtakuja tandikwa bakora nyie!!!
 
Pole luv.

Kabatini Pub, Mbele kidogo ya Safari, wakati unaingia upande wako wa kushoto pale ukutani, ile picha ileeee?

Hahaha!!!

Halafu jirani kumbe huwa unakuja kabisa karibu na maskani loh...

Aisee mle ndani sijawahi kutia maguu, huwa naishia tu kuona zile graffiti pale nje kwenye ukuta wa pink...

Itabidi nizame ndani siku nikaipimie hiyo picha maana umenifanya niwe curious sasa hahaha
 
Nah, it rocks, the music and all but sikupapenda. Full of kids ambao wana usumbufu kiasi flani!

Go take your beer, cheki hiyo picha then sepa.
 
wanted to tell ya the same...huwa naona kama kuna fujo sana pale...
 
mhmhmhmhmhmh Zinduna........yani namuangalia huyu baba..........mbavu sina hapa!!!
sipatii picha alivolegea...hadi mikono..............haahaaahaa!
duh! kweli hijab za muhimu huko................
 
Last edited by a moderator:
Pole luv.

Kabatini Pub, Mbele kidogo ya Safari, wakati unaingia upande wako wa kushoto pale ukutani, ile picha ileeee?

hahaha
kumbe unakatiza mtaani, nakuvizia nifotoe huo mpododo we si hautaki Hijabu.
 
1605871_seyi_jpg62a2b59c34edfb09f4368bf996e12d2e

Hii mambo zenu pelekeni huko Bara huku visiwani vaeni hijab, mtakuja tandikwa bakora nyie!!!

Kalio likiwa kubwa ni kubwa tu, hata uvae turubai litaonekana tu. Ni kama pembe la ng'ombe vile
 
Back
Top Bottom