Hii Machine ya Ukweli zile ambazo tunapaswa kuwa nazo AU R8, Kaa Mbali kabisa

Hii ngoma ndio utaendesha kwenye hizi barabara za Jiwe?

Goodluck with that!
 
Hii mashine niliendesha siku moja Ina button moja nyekundu kwenye usukani ukiigusa hiyo kwanza mlio unabadilika na speed ya ajabu
Sasa hiyo sauti ni lazima watu wote wakuangalie halafu mziki wa nini wakati sauti yake tu burudani? V10 sio mchezo
 
Mzee baba bora wewe utupe live experience achana na huyu mjomba aliyekua anaomba ushauri amehamia tabata anatafuta wapi atapata garage ya kutengeneza gx 110(grande mark 2) yake.

Mkuu hii gari ile ya mwaka 2018 ndio ilikuwa na nguvu sana yaani hata Huracan haiikamati
Ina nguvu sana nilikanyaga mafuta nikategemea labda nguvu ya kuondokea itageuka lakini wapi
Kwa kweli Audi zote ni nzuri sana au tuseme heshima kwa mjerumani kwa gari zake zote

Niliendesha ikiwa na 3 miles on the clock ingawa kuna wengine huwa wanasema eti kitu 0 km lakini ukweli hakuna hiyo kila moja lazima ijaribiwe kabla ya kukabidhiwa
Mimi mpenzi zaidi wa SUV na Q7 ndio chaguo la uhakika ikiwa na V12 ingine
Inakwenda kama gari ndogo
 
w
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…