Hii Machine ya Ukweli zile ambazo tunapaswa kuwa nazo AU R8, Kaa Mbali kabisa

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
962
Points
1,000

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
962 1,000
Hizi ndo mashine ambazo huwa nazungumzia. Nadhani ndiyo maana nafikia hatua nawaza hivi kweli nitaweza endesha gari ya Mjapani? Ikiwa Ulaya na Marekani wanaendelea kuzalisha Magari mazito ya maana? Sijui.

Screenshot_20190930-091259~2.png

Engije ya hii Machine Muscle Car ni V10
Ina Speed 350
Horse Power yake ni 562
Ukianza kukanyaga accelerator kutoka 0-60mph (mile per hour) inachukua sekunde 3.5
Yaani kutoka 0- 97 km/100 unatumia sekunde 3.5. Sasa jaribu yako, washa engage gear kanyaga mafuta from 0 mpaka odometer isome 100. Ukiwa unahesabu uone imetumia sekunde ngapi.
Screenshot_20191004-190212~2.png

Screenshot_20191004-190141~2.png

Hii gari hata ukinunua. Kwa Tanzania hutaweza enjoy. Unaweza jikuta nawe unaonekana kama unaendesha vyombo vya usafiri kama Altezza, Subaru and the like.

Wengi hata thamani yake wanaweza wasifahamu. Kibaya hutaweza enjoy maana hamna barabara ya kuweza drive that car. Hizi barabara zetu zilizowekwa matuta kama ya viazi na kuhalalishiwa mashimo yaliyowekwa lami. Gari itakuwa inagusa chini na wakati mwingine haipandi sehemu nyingine.

Ni kama siku ya kwanza nmekuja TZ toka nchi za Watu. Ilikuwa Usiku nikawa nashangaa kwa nini barabara ya airport haijawekwa lami. Imeshindiliwa tu mpaka nafika oysterbay nikawa sielewi.nikajiuliza ina maana nchi ni maskini kiasi hicho. Siki mbili baadaye nikaja pita ile njia na kigundua kuwa watanzania wanaita barabara ya lami.nliumia sana.

Nikifananisha na barabara za usa,uk,scandinavian countries nlisikitika sana.

audi-r8xx.jpg

Anyway msiwe bored na aina ya maisha yangu.maana hapa ningezungumzia Vyombo vya Usafiri vyaToyota ndo mngenielewa zaidi. But mimi nimeona nanyi wenzangu muweze enjoy Gari ndo maana nimewaletea kitu AUDI R8 machine ya Ukweli. Gari zenye Misuli.

Ndiyo maana huwa nashangaa kuna watu wanasema wanashindana kwa kutumia vitu vya kusafiria toka Japan. Siku mjaribu kushindana na gari sports za ukweli toka kwa wazungu. Ndiyo mtaona raha ya ligi za barabarani.

Ndo maana mimi gari zangu ni RANGE ROVER, MERCEDES BENZ,BMW,FORD RANGER NA GMC. SASA NATAKA AUDI.

Hii machine si Ghali sana ni USD 240,000 Sawa na Tsh 500,000,000. Nakushauri kama wewe ni Mtanzania mnyonge, mlalahoi na mwananchi. Hata ukipewa bure kataa. Waambie wakupe chombo cha kukusafirisha tu toka Japan. Huwezi ihudumia hii machine. Na pia huwezi iendesha huko uswahilini Sinza, Kijitonyama na sijui wapi.
 
Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,486
Points
2,000

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,486 2,000
Unaweza jikuta nawe unaonekana kama unaendesha vyombo vya usafiri kama Altezza,Subaru and the like.
.nikajiuliza ina maana nchi ni maskini kiasi hicho. Siki mbili baadaye nikaja pita ile njia na kigundua kuwa watanzania wanaita barabara ya lami.nliumia sana.
Hii machine si Ghali sana ni USD 240,000 Sawa na Tsh 500,000,000. Nakushauri kama wewe ni mtanzania mnyonge,mlalahoi na mwananchi. Hata ukipewa bure kataa
🤣😅
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
11,449
Points
2,000

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
11,449 2,000
Nipe ripoti ya mauzo yake sokoni mdau
Hizi ndo mashine ambazo huwa nazungumzia.nadhani ndo maana nafikia hatua nawaza hivi kweli ntaweza endesha gari ya Mjapani? Ikiwa Ulaya na Marekani wanaendelea kuzalisha Magari mazito ya maana? Sijui.

View attachment 1223584

Engije ya hii Machine Muscle Car ni V10
Ina Speed 350
Horse Power yake ni 562
Ukianza kukanyaga accelerator kutoka 0-60kmh inachukua sekunde 3.5

View attachment 1223587
View attachment 1223590

Hii gari hata ukinunua. Kwa Tanzania hutaweza enjoy. Unaweza jikuta nawe unaonekana kama unaendesha vyombo vya usafiri kama Altezza,Subaru and the like.

Wengi hata thamani yake wanaweza wasifahamu. Kibaya hutaweza enjoy maana hamna barabara ya kuweza drive that car. Hizi barabara zetu zilizowekwa matuta kama ya viazi na kuhalalishiwa mashimo yaliyowekwa lami. Gari itakuwa inagusa chini na wakati mwingine haipandi sehemu nyingine.

Ni kama siku ya kwanza nmekuja TZ toka nchi za Watu. Ilikuwa Usiku nikawa nashangaa kwa nini barabara ya airport haijawekwa lami. Imeshindiliwa tu mpaka nafika oysterbay nikawa sielewi.nikajiuliza ina maana nchi ni maskini kiasi hicho. Siki mbili baadaye nikaja pita ile njia na kigundua kuwa watanzania wanaita barabara ya lami.nliumia sana.

Nikifananisha na barabara za usa,uk,scandinavian countries nlisikitika sana.

View attachment 1223600

Anyway msiwe bored na aina ya maisha yangu.maana hapa ningezungumzia Vyombo vya Usafiri vyaToyota ndo mngenielewa zaidi. But mimi nimeona nanyi wenzangu muweze enjoy Gari ndo maana nimewaletea kitu AUDI R8 machine ya Ukweli. Gari zenye Misuli.

Ndo maana huwa nashangaa kuna watu wanasema wanashindana kwa kutumia vitu vya kusafiria toka Japan. Siku mjaribu kushindana na gari sports za ukweli toka kwa wazungu.ndo mtaona raha ya ligi za barabarani.

Ndo maana mimi gari zangu ni RANGE ROVER, MERCEDES BENZ,BMW,FORD RANGER NA GMC. SASA NATAKA AUDI.

Hii machine si Ghali sana ni USD 240,000 Sawa na Tsh 500,000,000. Nakushauri kama wewe ni mtanzania mnyonge,mlalahoi na mwananchi. Hata ukipewa bure kataa. Waambie wakupe Chombo cha kukusafirisha tu toka Japan. Huwezi ihudumia hii machine. Na pia huwezi iendesha huko uswahilini sinza,kijitonyama na sijui wapi.
 
Forum statistics

Threads 1,380,817
Members 525,890
Posts 33,780,696
Top