Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua tuu boss Uvimbie
Hahahaha barabara ya kushindilia sisi huku tunaita lami
bongo hamna si utakuwa unaitumia huko Texas nduguPa kuendeshea ndo hamna ndugu yangu. Au Itakuwa ya kupigia picha tu?
Hizi ndo mashine ambazo huwa nazungumzia.nadhani ndo maana nafikia hatua nawaza hivi kweli ntaweza endesha gari ya Mjapani? Ikiwa Ulaya na Marekani wanaendelea kuzalisha Magari mazito ya maana? Sijui.
View attachment 1223584
Engije ya hii Machine Muscle Car ni V10
Ina Speed 350
Horse Power yake ni 562
Ukianza kukanyaga accelerator kutoka 0-60kmh inachukua sekunde 3.5
View attachment 1223587
View attachment 1223590
Hii gari hata ukinunua. Kwa Tanzania hutaweza enjoy. Unaweza jikuta nawe unaonekana kama unaendesha vyombo vya usafiri kama Altezza,Subaru and the like.
Wengi hata thamani yake wanaweza wasifahamu. Kibaya hutaweza enjoy maana hamna barabara ya kuweza drive that car. Hizi barabara zetu zilizowekwa matuta kama ya viazi na kuhalalishiwa mashimo yaliyowekwa lami. Gari itakuwa inagusa chini na wakati mwingine haipandi sehemu nyingine.
Ni kama siku ya kwanza nmekuja TZ toka nchi za Watu. Ilikuwa Usiku nikawa nashangaa kwa nini barabara ya airport haijawekwa lami. Imeshindiliwa tu mpaka nafika oysterbay nikawa sielewi.nikajiuliza ina maana nchi ni maskini kiasi hicho. Siki mbili baadaye nikaja pita ile njia na kigundua kuwa watanzania wanaita barabara ya lami.nliumia sana.
Nikifananisha na barabara za usa,uk,scandinavian countries nlisikitika sana.
View attachment 1223600
Anyway msiwe bored na aina ya maisha yangu.maana hapa ningezungumzia Vyombo vya Usafiri vyaToyota ndo mngenielewa zaidi. But mimi nimeona nanyi wenzangu muweze enjoy Gari ndo maana nimewaletea kitu AUDI R8 machine ya Ukweli. Gari zenye Misuli.
Ndo maana huwa nashangaa kuna watu wanasema wanashindana kwa kutumia vitu vya kusafiria toka Japan. Siku mjaribu kushindana na gari sports za ukweli toka kwa wazungu.ndo mtaona raha ya ligi za barabarani.
Ndo maana mimi gari zangu ni RANGE ROVER, MERCEDES BENZ,BMW,FORD RANGER NA GMC. SASA NATAKA AUDI.
Hii machine si Ghali sana ni USD 240,000 Sawa na Tsh 500,000,000. Nakushauri kama wewe ni mtanzania mnyonge,mlalahoi na mwananchi. Hata ukipewa bure kataa. Waambie wakupe Chombo cha kukusafirisha tu toka Japan. Huwezi ihudumia hii machine. Na pia huwezi iendesha huko uswahilini sinza,kijitonyama na sijui wapi.
Mzee baba bora wewe utupe live experience achana na huyu mjomba aliyekua anaomba ushauri amehamia tabata anatafuta wapi atapata garage ya kutengeneza gx 110(grande mark 2) yake.Hii mashine niliendesha siku moja Ina button moja nyekundu kwenye usukani ukiigusa hiyo kwanza mlio unabadilika na speed ya ajabu
Sasa hiyo sauti ni lazima watu wote wakuangalie halafu mziki wa nini wakati sauti yake tu burudani? V10 sio mchezo
Mzee baba bora wewe utupe live experience achana na huyu mjomba aliyekua anaomba ushauri amehamia tabata anatafuta wapi atapata garage ya kutengeneza gx 110(grande mark 2) yake.
Nimehamia Tabata, tafadhali nipatieni fundi mzuri wa magari
Nimesogea mitaa ya Bata, Tabata. Wadau gari yangu ni Toyota mbele chini inagonga. Nilikuwa naishi mitaa flani barabara mbaya sana inagonga kama watu wanapiga ngoma ya mdundiko. Natafuta fundi mzuri wa kuondoa kelele zooooote za chini kwa bei nzuri, maana fundi wangu yupo Kimara, ni mbali na...www.jamiiforums.com
Hizi ndo mashine ambazo huwa nazungumzia.nadhani ndo maana nafikia hatua nawaza hivi kweli ntaweza endesha gari ya Mjapani? Ikiwa Ulaya na Marekani wanaendelea kuzalisha Magari mazito ya maana? Sijui.
View attachment 1223584
Engije ya hii Machine Muscle Car ni V10
Ina Speed 350
Horse Power yake ni 562
Ukianza kukanyaga accelerator kutoka 0-60kmh inachukua sekunde 3.5
View attachment 1223587
View attachment 1223590
Hii gari hata ukinunua. Kwa Tanzania hutaweza enjoy. Unaweza jikuta nawe unaonekana kama unaendesha vyombo vya usafiri kama Altezza,Subaru and the like.
Wengi hata thamani yake wanaweza wasifahamu. Kibaya hutaweza enjoy maana hamna barabara ya kuweza drive that car. Hizi barabara zetu zilizowekwa matuta kama ya viazi na kuhalalishiwa mashimo yaliyowekwa lami. Gari itakuwa inagusa chini na wakati mwingine haipandi sehemu nyingine.
Ni kama siku ya kwanza nmekuja TZ toka nchi za Watu. Ilikuwa Usiku nikawa nashangaa kwa nini barabara ya airport haijawekwa lami. Imeshindiliwa tu mpaka nafika oysterbay nikawa sielewi.nikajiuliza ina maana nchi ni maskini kiasi hicho. Siki mbili baadaye nikaja pita ile njia na kigundua kuwa watanzania wanaita barabara ya lami.nliumia sana.
Nikifananisha na barabara za usa,uk,scandinavian countries nlisikitika sana.
View attachment 1223600
Anyway msiwe bored na aina ya maisha yangu.maana hapa ningezungumzia Vyombo vya Usafiri vyaToyota ndo mngenielewa zaidi. But mimi nimeona nanyi wenzangu muweze enjoy Gari ndo maana nimewaletea kitu AUDI R8 machine ya Ukweli. Gari zenye Misuli.
Ndo maana huwa nashangaa kuna watu wanasema wanashindana kwa kutumia vitu vya kusafiria toka Japan. Siku mjaribu kushindana na gari sports za ukweli toka kwa wazungu.ndo mtaona raha ya ligi za barabarani.
Ndo maana mimi gari zangu ni RANGE ROVER, MERCEDES BENZ,BMW,FORD RANGER NA GMC. SASA NATAKA AUDI.
Hii machine si Ghali sana ni USD 240,000 Sawa na Tsh 500,000,000. Nakushauri kama wewe ni mtanzania mnyonge,mlalahoi na mwananchi. Hata ukipewa bure kataa. Waambie wakupe Chombo cha kukusafirisha tu toka Japan. Huwezi ihudumia hii machine. Na pia huwezi iendesha huko uswahilini sinza,kijitonyama na sijui wapi.
[/QUOTE
Hii naikubali lakini kwa hukohuko kwao ula! huku kwetu hifui dafu!! maana makorongo kila kona barabara za kupishana ukikamua 300 ujue wafwa!! huku mitungi ndiyo inataesa!! VX/GX za aina hiyo. ila kwa wale washabki wa ligi ukikuta barabara zile za lani wala usiifuate!!