PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,151
Huna akiliKumpiga mwanamke wako vibao vya makalio tena vya nguvu?
Kwa kweli sipendi hi tabia, na sijui anakua anamaanisha Nini, last week nimepigwa vibao vya makalio vya nguvu Hadi nikatoa machozi wakati wa kunyanduana, cha ajabu mwenzangu anazidisha.
Hivi wanaume kitendo hiki maana yake ni Nini? Nikunikomesha ? Coz nakumbuka maneno alokuwa anatamka ananambia kwanini nikikuomba uniletee huniletei , huku ananichapa vibao vya makalio.
Yaani nimeapa simpi tena kwa kitendo alichonifanyia.