- Thread starter
- #61
Heshima kwako mkuu,inaonekana wewe ni mkongwe humu if lakini hutaki kuolewa,Fanya upate mwenza wako ili utulie,Msaada: Nilibakwa na majambazi nimepata ujauzito
[/Q![]()
Nimeachana naye lakini bado ananifatilia
Wakuu majuma kadhaa nilileta nilileta uzi wa kuomba ushauri kuhusiana na mpenzi wangu ambae alikuwa ni mbinafsi, bahili na hanijali pia. Baada ya kusoma ushauri mbalimbali na kuchanganya na akili yangu, nilifuata ushauri na mimi kufikia hatua ya kuachana na huyo mpenzi mbinafsi. Ni mwezi Sasa...www.jamiiforums.com
Naona unanihurumia njoo unioe nipumzike


