Hii maana yake nini?

Hii maana yake nini?

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
416
Kumpiga mwanamke wako vibao vya makalio tena vya nguvu?

Kwa kweli sipendi hi tabia, na sijui anakua anamaanisha Nini, last week nimepigwa vibao vya makalio vya nguvu Hadi nikatoa machozi wakati wa kunyanduana, cha ajabu mwenzangu anazidisha.

Hivi wanaume kitendo hiki maana yake ni Nini? Nikunikomesha ? Coz nakumbuka maneno alokuwa anatamka ananambia kwanini nikikuomba uniletee huniletei , huku ananichapa vibao vya makalio.

Yaani nimeapa simpi tena kwa kitendo alichonifanyia.
 
Atakua anaangalia sana blue 🎞. Ila usiwe unambania aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom