Ila wanaharibu Sana mazingira kukata miti n.kBlacks depends what nature gives them..
Not adding something to nature
haha ilikuwepo mkuu si anakuaminisha kwamba hapo ni NYCKulikua na haja gani kusema umechili sana braza
hujambo waiti amerika?😹😹😹
Black America wa JF njooni huku mnaitwa..!!
Kule watu sijui wanaishije kwakweli, mda wote wamebanana.😅😅
Tuache🤣🤣Kule watu sijui wanaishije kwakweli, mda wote wamebanana.
Sasa watu wote watafika vipi Marekani?Kwani Marekani ni peponi?Sumtime inabidi ufiche upumbavu wako kenge maji.Inaonekana wewe katika maisha yako hujawahi kufika kabisa Marekani na kuelewa watu wa rangi mbalimbali waishio Marekani mfumo wao wa maisha ukoje na unachagizwa na nini.
Bila shaka hao ni jamii ya watu weusi na asili ya mfumo wao wa maisha unajulikana vema hata waende wapi katika sayari hii na wewe huwezi kulifahamu hilo kwa sababu aidha hujatembea au hauna utamaduni wa kujisomea.
Na jambo kubwa la kusikitisha, ngozi nyeupe ni miongoni mwa wanunuziJambo kubwa na la kuhuzunisha ni kwamba machinga wote hapo ni weusi
Ni nchi ambayo kila mtu duniani anatamani kufika kama siyo kuzamia kabisa.Sasa watu wote watafika vipi Marekani?Kwani Marekani ni peponi?Sumtime inabidi ufiche upumbavu wako kenge maji.