Machinga kibao kama Mbagara Rangi Tatu.Yaani Karume au mbagala upate nafasi ya kupicha kali na imetulia namna hiyo??
Labda uwe juu ya daraja pale machinga complex au daraja la mbagara rangi tatu napo huko ukae kwa umakini wa hali ya juu.
Hapo ni NY city mkuu.
Mbagala ambako ukiangalia mbele ni mbele hugeuki, ukigeuka boda kakuvaq miguuni.Machinga kibao kama Mbagara ranging Tatu.
Kulikua na haja gani kusema umechili sana brazahiyo mitaa nimechil sana, New York.
😅😅Mbagala ambako ukiangalia mbele ni mbele hugeuki, ukigeuka boda kakuvaq miguuni.
Uncivilized societiesTatizo ni nini kwa blacks?
Kariakoo gerezani 😹😹Nimeona mtandaoni watu wakiijadili hii picha wakisema ni New York ya U.S.A!
Mbona hapa ni kama Mbagala au Karume tu?!
View attachment 3439084
😹😹😹Ngozi nyeusi huishi mazingira yanayofanana.
Blacks depends what nature gives them..Uncivilized societies