Hii kwako imekaaje?

Hii kwako imekaaje?

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,699
Mama wa watoto wawili Maria Butzki wa Uingereza, amekuwa akiishi na mume wake na 'boyfrind' wake nyumba moja kwa sababu alishindwa kuamua amuache yupi, wanaume hao wawili wakawa marafiki kupitiliza.
e53fca729d4985ffa218df2919119faa.jpg

Hii kwako imekaaje?
 
Hii imekaa kwamba tumetofautiana.
Usiwe na wasiwasi kama hufanani na mwenzako.
 
Duh ngumu sana kuwa hivyo lakini imekuwa....

Ilikuwaje mume wake akaruhusu boyfriend wa mkewe aishi nyumba moja wanayoishi?

Na mume alipogundua mke wake anachepuka alichukua uamuzi gani hapo kabla?
 
Duh ngumu sana kuwa hivyo lakini imekuwa....

Ilikuwaje mume wake akaruhusu boyfriend wa mkewe aishi nyumba moja wanayoishi?

Na mume alipogundua mke wake anachepuka alichukua uamuzi gani hapo kabla?
ni kuwa boyfriend kamzidi kete mume mume nae akaona kutoa talaka ni ngumu akaona isiwe tabu mlete huyo anaekizuzua hapa kwangu tuendeleze maisha.

uje ukute mmoja ni mtumiaji wa tgo mwingine hatumii
 
Huyu lazima atakuwa na limbwata la kirangi au la kidigo sio bure
 
Mama wa watoto wawili Maria Butzki wa Uingereza, amekuwa akiishi na mume wake na 'boyfrind' wake nyumba moja kwa sababu alishindwa kuamua amuache yupi, wanaume hao wawili wakawa marafiki kupitiliza.
e53fca729d4985ffa218df2919119faa.jpg

Hii kwako imekaaje?
Hao jamaa nao watakuwa wagonjwa wa akili si bure
 
Back
Top Bottom