Hii kitu vipi tena

Hii kitu vipi tena

BABU KIZEE

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Posts
452
Reaction score
72
Wakuu naombeni ushauri mimi na mpenzi wangu tumekuwa na mahusiano kwa kipindi kirefu sana bila kuduu,mpenzi wangu yuko mwaka wa pili sasa ni mfanyakazi tayari ,imefika muda wa mimi kumjua vizuri kiundani yaani kuduu nae ila tumepanga tuwe tunatumia kinga ila kila nikivaa mzee analala ,hivi tatizo nini wakuu hapo.
 
Hapo kwenye red umemaanisha nini!!!!!

Kwa hiyo ulishajaribu na mtu mwingine Mtarimbo ukalala DORO!!!!!
au umejuaje kuhusu huli swala as far hamjawahi ku DO!!!!
 
1. ondoa stress,
2. jipange,
3. usimpanie saaana,
4. kuku ni wako manati ya nini,
5. hakuna haja ya kutumia kinga,.. kwa hilo inaonyesha unaogopa ikichukuliwa mshakuwa marafiki kwa muda mrefu
5. Kamilisha taratibu zote ikiwa ni pamoja na kupima halafu beba jumla jumla condom za nini?
 
Pole sana....mpaka ipigiwe tarumbeta ndo isimame
 
Wakuu naombeni ushauri mimi na mpenzi wangu tumekuwa na mahusiano kwa kipindi kirefu sana bila kuduu,mpenzi wangu yuko mwaka wa pili sasa ni mfanyakazi tayari ,imefika muda wa mimi kumjua vizuri kiundani yaani kuduu nae ila tumepanga tuwe tunatumia kinga ila kila nikivaa mzee analala ,hivi tatizo nini wakuu hapo.

Babu vizee huwa hawasimamishi. kwahiyo hiyo ni hali ya kawaida kwako wala usijali. Labda kama ID umeongopa
 
nimewahi fanya lakini bila kinga na tatizo kama ili huwa alitokei ila nikitumia majanga.

Basi kiti wako hapendi kinga......,au ulikuwa unajichua hapo awali?au ndo yale yakuchezewa sana afu ww unashika titi mnalala miaka na miaka......siku unataka ndo hayo.
 
Pole sana..

Hilo ni tatizo la kisaikolojia hasa hama unamuona mpenzio ni "classic sana" au huja do mda mrefu....
 
wazee wa siku hizi kutaka mambo yaliyo nje ya uwezo waho.
mtakuja kufia kwenye kifua cha mabinti.
 
MKUU BABU KIZEE
kama ulikuaga unapiga nyeto sana basi ujue hilo ndio tatzo na solution yake ni kua ANZA KUFANYA MAZOEZ YA MWILI HARAKA SANA kama vile kuruka kamba,kukimbia,e.t.c.....
kama hilo unaliona gumu,muulize demu wako anaogopa nini hadi anagoma kukupa kavu.?akikwambia ukimwi basi mwambie mkapime,akikwambia mimba basi mtumie njia ya kuhesabu siku ili usihangaike tena mkuu....
 
Last edited by a moderator:

asante sana mkuu kwa ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom