hii kitu nomah

hii kitu nomah

Sasa hapo unatupa taarifa au unaomba ushauri? Mods kulikoni mnaacha mambo kama haya yawepo ??
 
Niaje waungwana

jana kama kawaida yangu ktk mishemishe za kusaka dough(pesa) ikafika muda wa kurudi hostel pande za mabibo nikakutana na bonge la saplaizi binti niliempenda kwa muda mrefu nikamkuta na swaiba zangu wamepamba getto fresh then akasema amekubali ombi langu nililomweleza muda mrefu one more time ya busy signal ikapgwa daah nikamkumbatia m'babez wa ukweli asee usiombe ilikua hatari tupu mbaya zaidi ilikua siku yangu ya kuzaliwa....

kama uko chuo akiyako haifanyi kazi bora angekuwa dem wakichaga ikifika jioni akulize umeingiza sh ngapi
 
kwaio ndio mnaanza ukurasa mpya wa mapenz si ndio kila la kheri
 
Back
Top Bottom