hii kitu nomah

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
47
Niaje waungwana

jana kama kawaida yangu ktk mishemishe za kusaka dough(pesa) ikafika muda wa kurudi hostel pande za mabibo nikakutana na bonge la saplaizi binti niliempenda kwa muda mrefu nikamkuta na swaiba zangu wamepamba getto fresh then akasema amekubali ombi langu nililomweleza muda mrefu one more time ya busy signal ikapgwa daah nikamkumbatia m'babez wa ukweli asee usiombe ilikua hatari tupu mbaya zaidi ilikua siku yangu ya kuzaliwa....
 
subiri kuchunwa mpaka ukome, longtime hiyo kuna mwenzako alikuwa nakamuliwa, its your time
 
siku ya kwanza kuzaliwa unamanisha alikuwa BIKRA?
 
Hivi shule hazijafungua tu?
 

How old are you??
 
Hivi jana Barcelona walishinda ngapi na kesho Man U wanbacheza na team gani vile mkuu Ndibalema
 
Last edited by a moderator:

Mibange ya mabibo hostel imevamiwa na dogo sharobaro matokeo yake ndo haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…