Hii kitu inawatokeaga na nyie?

Hii kitu inawatokeaga na nyie?

Kuna ile situation mtaani kuna msichana mmoja hivi. Mkaliii ila malaya. Kasharuka na mabaharia wengi wa mtaani. Bado yupo katika mahusiano na wanaume kama watatu hivi, wenyewe hawajui kama wana-share mwanamke mmoja. Humpendi wala humuwazii kama atakuja kuwa mkeo.

Katika pita pita za hapa na pale mnakutana, anakutega unaingia. Ukishaingia tu unajikuta umekufa. Roho inauma maana ukifikiria girl mwenyewe kama cha wote na we ndo ushamfia mazima.

Ukiangalia girl anakuheshimu kama mme wake.

Unafanyaje katika mazingira ya hivyo ?

Unamtoa katika tabia zake au ? Lakini unakumbuka 'samaki hukunjwa angali mbichi'.

Situation kama hii ishakutokea ?
Unleas hutaki kuungwa kwenye grid ya taifa . I suggest walk away.
Mwanamke hata kama anakupenda vip.. kama ni malaya hafai.
Umalaya ni BIG NO
 
Kuna ile situation mtaani kuna msichana mmoja hivi. Mkaliii ila malaya. Kasharuka na mabaharia wengi wa mtaani. Bado yupo katika mahusiano na wanaume kama watatu hivi, wenyewe hawajui kama wana-share mwanamke mmoja. Humpendi wala humuwazii kama atakuja kuwa mkeo.

Katika pita pita za hapa na pale mnakutana, anakutega unaingia. Ukishaingia tu unajikuta umekufa. Roho inauma maana ukifikiria girl mwenyewe kama cha wote na we ndo ushamfia mazima.

Ukiangalia girl anakuheshimu kama mme wake.

Unafanyaje katika mazingira ya hivyo ?

Unamtoa katika tabia zake au ? Lakini unakumbuka 'samaki hukunjwa angali mbichi'.

Situation kama hii ishakutokea ?

Run.....
 
Back
Top Bottom