Hii kitu inaninyima raha kwa kweli....


Katitima

Katitima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Messages
621
Likes
6
Points
35
Katitima

Katitima

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2013
621 6 35
WAKUU,POLENI KWA MAJUKUMU YA WAKATI WOTE.
KUNA WAKATI HUWA NATUMIA SIMU KWA AJILI YA HUDUMA ZA INTERNET SASA KWA KIPINDI SASA KILA NIKITAKA KU-BROWS INANILETEA MANENO HAYA,
_CONNECTION FAILED
NA KAMA IKIFANIKIWA KUFUNGUKA BAADAYE INANAMBIA,
_NO TRUSTED CERTIFICATE.CONTINUE?
NA NIKIENDELEA INAKUWA INATAFUTA MWISHONI INAKATA YENYEWE.
NAOMBENI MSAADA WAKUU.

simu ninayotumia ni TECNO HD II.

NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,424
Likes
9,333
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,424 9,333 280
tarehe ipo sawa? inaweza kuleta tatizo la certificate.

kuhusu connection net ipo slow na sidhan kama simu ina 3g
 
Katitima

Katitima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Messages
621
Likes
6
Points
35
Katitima

Katitima

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2013
621 6 35
MKUU chief-mkwawa,NIKIENDA KWENYE SETTINGS NAKUTA TRUSTED CERTIFICATE MOJA IPO HIVI,

ISSUER:US Entrust.net www.entrust.net/CPS incorp. by ref.(limits liab)(c) 1999Entrust.net Limited Entrust.net Secure Server certification Authority

SUBJECT:ni kama hapo juu

valid not before
5-25-1999

valid not after
5-25-2019

certificate format
X.509

algorithm
SHA 1RS

serial number
37 4a d2 43

finger print
34 c9 f5 ce 3b 52 b2 c9 54 fc b6 b7 71 c8 b6 b3 52 o2 c3 80

SEMA NENO TAFADHALI MKUU.
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,424
Likes
9,333
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,424 9,333 280
tarehe ipo sawa mkuu ila simu haina 3g.
kaka hapa hauna ujanja tafuta e ambayo ina speed kama ya voda na pia tumia browser ambayo haili sana bandwitch kama opera
 

Forum statistics

Threads 1,250,739
Members 481,468
Posts 29,743,643