Hii kitu inanikera sana

Hii kitu inanikera sana

Hahahaaaa uwiiii ni shedaaah eti ugomvi umajua maana ya ugomvi kiufupi wewe ni mbinafsi hakuna mzazi anayeweza kutoa zawadi bila kuhakikisha mwanawe yupo kwenye ndoa yenye baraka zote ya wazazi a kanisani au msikitini zaidi ya hapo tiendelee kupiga story.

ndoa yenye baraka ikoje na isiyo na baraka ikoje ukizingatia zawadi ikitolewa siku ya harus, nimbie hapo labda mi sijui


na najua maana ya ugomvi, kumprovoke mtu kwa kitu usichokijua au kuwa na hakika nacho ni ugomvi...plus nimegundua wewe una dharau, tabia ya dharau si nzur yapasa kuwaheshim wote ht km umejaliwa kipato kikubwa
mi binafs namshukuru Mungu kwa moyo huu na najua ni moja ya siri ya mafanikio yangu hata wakat nilipopataga kaz tena nzr sana nadhan ilikua moja ya kigezo..we endelea na tabia yako hata wanao watakua kama wew tu alaf unaanza kulalamika kwa nini hawafanikiw au hata wakifanikiwa amani hamna
 
Sijui hata nikuambiaje. Cha muhimu ni upate umiliki halali, kupewa Nyumba au Kiwanja sio zambi.

kwel naona ulinjooke ni point nzur sana umiliki ndo suala la kuzingatia, kama unapata umiliki ni baraka tu ila otherwise ngum sn
 
Mi binafsi hiki kitu sikipendi kabisa,

kitendo cha wazazi wa mwanamke kuwapa nyumba ama kiwanja kabla ya ndoa au siku ya ndoa kama zawadi...
mi hiki kitu sitaki kabisa kije nitokea maishani naona heri nianze kidogo kidogo hata kama ni kwa shida ila nijenge kwa nguvu zangu binafsi kama mke hana kipato ama pia tujenge wote kama kajaliwa kipato sababu vyovyote mali itakua yetu sote na watoto wetu hapo baadae.

Ila swala la kupewa hizo zawadi binafsi kama ni kabla ya ndoa naweza nikaahirisha ndoa maana mi fikra zangu na kwa jinsi nlivyoona ndoa za wengi unakuwa kama mwanamme umenunuliwa..

je hii perception niliyonayo ni sahihi kwel jaman maana pia huwa napenda kufaham vitu kupitia shauri mbalimbali

Je ni sawa kwel hii!! nini mtazamo wenu wadau[/QUOTE

wazazi wameamua kutoa zawad za mali zao walizotafuta kwa watoto wao wote (wakike na wakiume)

haimaanishi wewe umayeoa ndo unapewa ila kwasababu wanajua huyo ni mwenzio mnaenda ishi pamoja so ndo maana mnapewa wote lakin target yao kubwa ni mtoto wao!!!

na hufanya hivo wakijua hivo vitu walitafuta kwaajili ya watoto wao sasa kwanini huyo asipewe?

walikuwa hata na uwezo wa kumpa bila wewe kujua lakn kwa nia njema na mapenz ya dhat kwenu wote wamewapa coz wanaju nyie sasa ni kitu kimoja kwanini wakufiche
 
ndoa yenye baraka ikoje na isiyo na baraka ikoje ukizingatia zawadi ikitolewa siku ya harus, nimbie hapo labda mi sijui


na najua maana ya ugomvi, kumprovoke mtu kwa kitu usichokijua au kuwa na hakika nacho ni ugomvi...plus nimegundua wewe una dharau, tabia ya dharau si nzur yapasa kuwaheshim wote ht km umejaliwa kipato kikubwa
mi binafs namshukuru Mungu kwa moyo huu na najua ni moja ya siri ya mafanikio yangu hata wakat nilipopataga kaz tena nzr sana nadhan ilikua moja ya kigezo..we endelea na tabia yako hata wanao watakua kama wew tu alaf unaanza kulalamika kwa nini hawafanikiw au hata wakifanikiwa amani hamna

Mbutananga yamekuwa hayo :what:
 
Zawadi ya nyumba kwa mke toka kwa wazazi haina shida kabisa. Ukioa unakuwa mtoto wao pia. Halafu fikiri kama huna nyumba yako uko tayari kwenda kupanga na kuisusia zawadi eti kwa sababu kapewa mkeo?
 
Back
Top Bottom