Hii kitu inakuaje hii?

Hii kitu inakuaje hii?

Jamaa una vinasaba vya ushoga...nahisi utakuwa umeigeuza stori....hata mimi ni Basha karibu kama unamaindi dushe...
 
Acheni kujadili privacy, interest, na maisha ya muhusika, kila mtu ana haki ya kufany vile anavyoona kwake ni sahihi paspo kuvunja sheria na utaratibu. Kila mtu mtu a deal na mlengo wa hisia zake. Hakuna kupangiana aaaaaah
 
hapana kudeal na macho ni mabo ambayo hayafichiki so.. haiwezi kuwa privacy
 
...jamani Aya mambo machafu hayafai ata kuyajadili tusije tukaletewa kisanga humuhumu jf kama watu wa nabii rutu...

Mungu anatuona ujue....maana hii laana ujue ukitaka ujue we angalia ktk jamii yako hv kuna mtu anaeitwa Hilo jina la nabii rutu hali ya kuwa yy hakuhuska kabsa...
 
Simtetei mie nasema ukweli, acheni kujadili mienendo ya maisha ya watu ili hali haya wa athiri kwa chochote. Ishi maisha yako binafsi.
yana athiri nkuambie tuu ukweli... mfano watoto wanao kuwa wataharibika kupitia mienendo yao
 
...jamani Aya mambo machafu hayafai ata kuyajadili tusije tukaletewa kisanga humuhumu jf kama watu wa nabii rutu...

Mungu anatuona ujue....maana hii laana ujue ukitaka ujue we angalia ktk jamii yako hv kuna mtu anaeitwa Hilo jina la nabii rutu hali ya kuwa yy hakuhuska kabsa...
nkuambie lazima tujadili tupate namna ya kuepukana na hizo mambo... alafuuu kuna watu unaeza kuta anahisi anautofauti na wanaume wenzake au wanawake wenzake so lazma wajue namna ya kujijenga na kuondokana na hayo mambo.. njia ya kuwasaidia ni kama hivi kueka huku yanayo tokea kwenye jamii
 
Back
Top Bottom