wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 288
mi siielewi kabisa hii kitu hii....manake imegombanisha mke na mme hii kitu hii,mashehe na mapadri wameasi sababu ya hii kitu hii....watu wanauana sababu ya hii kitu hii....inasumbua sana hii kitu hii.yaani kimsingi mi siielewi hii kitu hii