Hii kitu haina adabu

Hii kitu haina adabu

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
Dah, yani wazee wameacha kuangalia mkataba wanaangalia le mzigoz.

11809549_857887174287962_2126219915_n.jpg

MK254 unamuona mzee? :wink:
 
Museveni ndo kachanganyikiwa kabisa akili yake yote imehama
 
Hehehe!! kwa jinsi hilo toto lilivyo hata wewe ungedata tu.

Kwa mwanaume asiyekua na haya mambo, basi ana aina ya kasoro. Umeona jinsi rais Mfaransa alivyojiachia hapo.

1247366862637.jpg
 
Acha ujinga ww mtoa uzi angalia vema kuna sura ya kimapenzi hapo? Wee si unaona wote uso wa mbuzi kasoro bwana mawani tu
 
Dah, yani wazee wameacha kuangalia mkataba wanaangalia le mzigoz.

11809549_857887174287962_2126219915_n.jpg

MK254 unamuona mzee? :wink:
Hiyo kitu kwa mwanaume haikwepeki! Hata mimi ningekuwepo
macho yangu yangeelekea hukohuko maana huyo dada kwa kweli
kajaaliwa!
 
Back
Top Bottom