Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,432
- 7,965
Acha mlango waziiiSasa nikinunua kama hicho ntafanyaje ili majirani wajue nalalia tanda la gharama.
Acha mlango waziiiSasa nikinunua kama hicho ntafanyaje ili majirani wajue nalalia tanda la gharama.
Àlafu ni very comfortable, yaani hicho kitanda unaweza kulala bila godoro lake yaani kitanda pekee ni godoro tosha acha mzungu aitwe mzungu.Ni kizuri sana.
Hapo huwezi kuota unadumbukia kwenye mshimo mkubwa au unakimbizwa na paka.
8/10Iko poa au siyoView attachment 1630754
Mzungu aitwe mzungu na wewe uitwe nani?Àlafu ni very comfortable, yaani hicho kitanda unaweza kulala bila godoro lake yaani kitanda pekee ni godoro tosha acha mzungu aitwe mzungu.
Si bora hivyo kwa kupumzikia maana ndio lengo ila hicho cha kushuka ili kikazwe hapo hakuna kupumzika huo ni usumbufu.Kitanda ni kimoja tu teremka tukaze hayo mengine ni madubwasha ya kupumzikia t
Nmepanga chumba 50000/ kwa mwez , navaa kiatu cha 150000/Umepanga chumba kimoja kodi elfu30 kwa mwezi unanunua kitanda cha zaidi ya milioni ata kiwanja huna huo si ufala.
Nyie ndio zile type za watu wenye nyumba ila humo ndani njaa tupu,mtu kapata hela anakimbilia kiwanja na kujenga mwisho wa siku anabaki kuishi kwenye nyumba ambayo haijamalizwa kujenga na hela hana hata ya kula anapiga vizinga kwa wenzake waliyopanga.Umepanga chumba kimoja kodi elfu30 kwa mwezi unanunua kitanda cha zaidi ya milioni ata kiwanja huna huo si ufala.
Huna tofauti na paka 😂😂😂Hiki lazima nikichonge. Sehemu yangu ya kulala napenda kutumia gharama kubwa kuliko sehem yoyote hata ac nafunga.maana ndo umsehemu ambayo natumia muda mwingi kuwemo katika maisha yangu
Hii ni al-kasusu mujarabu ☕sio ufala,kupanga ni kuchagua mkuu na kila mtu ana mipango yake kwenye maisha kwa mfano kuna mzee alikuwaga anaishi kwenye kajumba ka serikali miaka ya 2000 mwanzoni ila nje ya nyumba yake ame park gari
mimi wakati naanza maisha getto langu nilikuwa nalipa elfu 50 kwa mwezi ila nikanunua flat kubwa na kuweka fridge ndani wakati huo bank nilikuwa na laki 1 tu
Kupanga kunatofautiana,kuna watu wanalipa mamilioni sehemu walizopanga na kupanga hakuna maana huna uwezo wa kujenga.Hiki kwakweli hakifai ukiwa ni mpangaji, kinafaa ukiwa unaishi kwako, kama umepanga na unatumia hki kitanda basi ni matumizi mabaya ya rasilimali pesa
Kama jina lakoMzungu aitwe mzungu na wewe uitwe nani?
Ahaaa nilifikiri ulitaka uitwe nyani......kumbe una akili kidogo.Kama jina lako
Point hapo ni kwamba hicho kitanda hakihitaji vurugu mechi za kukihamisha mara kwa mara so ata kama umepanga apartment ya milion mia basi hakikisha kuwa utadumu hapo hapoKupanga kunatofautiana,kuna watu wanalipa mamilioni sehemu walizopanga na kupanga hakuna maana huna uwezo wa kujenga.
Sasa mtu kapanga kwenye aparment na analipia mamilioni ndio asinunue kitanda kama hicho kisa kapanga?
wahuni,wahuni sio watu kabisa yani[emoji23][emoji2][emoji23]Kitanda kama hicho hakina mzuka ukiwa na demu.....mi nataka vile vitanda ambavyo vinapiga kelele,mara mdondoke kidogo,,hamjakaa sawa wigi la demu limenasa kwenye msumali ...yaani full fujo
Nimetoka Ofisini kwangu gereji pale sinai narudi home nakutana na kitanda cha namna hiyo, kweli hakutokuwa na tofauti ya ofisin na home?!Hakuna tofauti na ofisi na home sasa hapo stress za kazini haziwezi kuisha maana unajiona upo pale pale.