Wote tukijenga mbona hapatatosha mkuuUmepanga chumba kimoja kodi elfu30 kwa mwezi unanunua kitanda cha zaidi ya milioni ata kiwanja huna huo si ufala.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23]Kitanda kama hicho hakina mzuka ukiwa na demu.....mi nataka vile vitanda ambavyo vinapiga kelele,mara mdondoke kidogo,,hamjakaa sawa wigi la demu limenasa kwenye msumali ...yaani full fujo
Ukimaanisha nafasi ya kujenga haitakuepo au? Sehemu zilizoendelezwa na binadamu katika dunia hata robo hatujamaliza.Wote tukijenga mbona hapatatosha mkuu
Umepanga chumba kimoja kodi elfu30 kwa mwezi unanunua kitanda cha zaidi ya milioni ata kiwanja huna huo si ufala.
Maneno ya mkosajiUmepanga chumba kimoja kodi elfu30 kwa mwezi unanunua kitanda cha zaidi ya milioni ata kiwanja huna huo si ufala.
sema huna hela tuToo much.... Napenda vitu simple and clear
Unauhakika...???sema huna hela tu
Iko poa au siyoView attachment 1630754
Umepanga chumba kimoja kodi elfu30 kwa mwezi unanunua kitanda cha zaidi ya milioni ata kiwanja huna huo si ufala.
Kweli kupanga ni kuchagua lakini maana yangu ni kwa baadhi ya vitu vinapendeza zaidi kutokana na mazingira. Mfano kitanda kama hicho ukaweka kwako ulipopanga chumba kimoja, sebule hapohapo kupika hapohapo kulala hapohapo thamani yake haitaonekana vitu vya thamani vinapendeza uwe na space ya kutosha.sio ufala,kupanga ni kuchagua mkuu na kila mtu ana mipango yake kwenye maisha kwa mfano kuna mzee alikuwaga anaishi kwenye kajumba ka serikali miaka ya 2000 mwanzoni ila nje ya nyumba yake ame park gari
mimi wakati naanza maisha getto langu nilikuwa nalipa elfu 50 kwa mwezi ila nikanunua flat kubwa na kuweka fridge ndani wakati huo bank nilikuwa na laki 1 tu