Hii kitanda unatoa maksi ngapi

Hii kitanda unatoa maksi ngapi

sio ufala,kupanga ni kuchagua mkuu na kila mtu ana mipango yake kwenye maisha kwa mfano kuna mzee alikuwaga anaishi kwenye kajumba ka serikali miaka ya 2000 mwanzoni ila nje ya nyumba yake ame park gari
mimi wakati naanza maisha getto langu nilikuwa nalipa elfu 50 kwa mwezi ila nikanunua flat kubwa na kuweka fridge ndani wakati huo bank nilikuwa na laki 1 tu
Halafu ikawaje?
 
Hiki kwakweli hakifai ukiwa ni mpangaji, kinafaa ukiwa unaishi kwako, kama umepanga na unatumia hki kitanda basi ni matumizi mabaya ya rasilimali pesa
 
Hiki kwakweli hakifai ukiwa ni mpangaji, kinafaa ukiwa unaishi kwako, kama umepanga na unatumia hki kitanda basi ni matumizi mabaya ya rasilimali pesa
Tena chumba chako chenyewe cha kulala kiwe Kikubwa
 
😂😂 wasio na pesa utawajua tu..
Enwei hapo likipatikana na godoro la babe Drake..😂😂😂😂
 
Hiki lazima nikichonge. Sehemu yangu ya kulala napenda kutumia gharama kubwa kuliko sehem yoyote hata ac nafunga.maana ndo umsehemu ambayo natumia muda mwingi kuwemo katika maisha yangu
Hicho kitanda sio cha kuchonga ni special ukienda mlimani city unaweza kukipata hakuna fundi bongo anaweza kutengeneza hicho kitanda.
 
Back
Top Bottom