Umenipa wazo zuri kwa hali hii ndio maana retention fee wanaificha hawaweki kwenye salary slipChukua mkopo bank uwalipe hao shetani pesa yao uwe huru. Hilo deni la bodi huwa haliishi.
Kwa halo hii kwakwel haitawezekanaDeni langu bodi ni milioni 10.4, Walianza kunikata mwaka 2013 kiasi 47,000/= kwa mwezi ambayo ni saw a na 56,400/= per year...
Hivi hii inawezekana ee?Chukua mkopo bank uwalipe hao shetani pesa yao uwe huru. Hilo deni la bodi huwa haliishi.
564,000/= nimerekebishaHata mimi sijaelewa 47000x12 inakuaje 56000
Kabisa 💯💯💯Hivi hii inawezekana ee?
Zingatia alama za kiuandishi. Wewe ni mwalimu au injinyia?Deni langu bodi ni milioni 10.4, Walianza kunikata mwaka 2013 kiasi 47,000/= kwa mwezi ambayo ni saw a na 56,4000/= per year...
Afisa ustawi wa jamiiZingatia alama za kiuandishi. Wewe ni mwalimu au injinyia?
Umeona hilo yaani unakula kiulainiHivi naweza kununua hisa kwenye bodi ya mikopo?? Maana najua kizazi changu chote kitakula faida madeni hayatakaa yaishe, Deni liko Pale pale ata kama umekatwa me nakula faida ya maboya miaka nenda Rudi. Unalipa lakini hakuna kilicho pungua..
Serekali itangaze kwa wanaotaka kuongeza hela bodi ya mikopo ili wanafunzi wote wapewe mikopo na SISI tule hela za bure,
Mwaka 2013 makato hayakuwa 15% ujue hilo.Kijana mbona kama wanakulipa mshahara mdogo sana?
Iko hivi:
Kama makato ya 15% kutoka mshahara ghafi ni 47,000/=, basi mshahara ghafi wako roughly utakuwa 320,000/=.
Sasa basi:
6% (Retention Fee) kutoka kwenye 10,000,000/= unayodaiwa ni kama 600,000/=.
Ina maana mshahara wako hautoshi hata kulipa retention fee kwa mwaka.
Kwa huo mshahara wako haukupaswa kukatwa 15% bali inabidi calculation iwe modified ili kuendana na mshahara wako.
Umesoma chuo wewe?Acha kudanganyana nyie, mmevurugwa na madeni.
Mkopo ukianza kupungua haupandi tena.
#sitapiga-kira-milele
Hapa umejiona mjuaji sana kumbe hujui kama 15% ilikuja baada ya sheria ya 2016Kijana mbona kama wanakulipa mshahara mdogo sana?
Iko hivi:
Kama makato ya 15% kutoka mshahara ghafi ni 47,000/=, basi mshahara ghafi wako roughly utakuwa 320,000/=.
Sasa basi:
6% (Retention Fee) kutoka kwenye 10,000,000/= unayodaiwa ni kama 600,000/=.
Ina maana mshahara wako hautoshi hata kulipa retention fee kwa mwaka.
Kwa huo mshahara wako haukupaswa kukatwa 15% bali inabidi calculation iwe modified ili kuendana na mshahara wako.
badilisha hiyo % basi. ndio maana mnapigwa na bodiHapa umejiona mjuaji sana kumbe hujui kama 15% ilikuja baada ya sheria ya 2016