Hii kimahesabu imekaaje kuhusu Mkopo wa Elimu ya Juu?

Davan

JF-Expert Member
Jun 15, 2020
1,127
2,000
Deni langu bodi ni milioni 10.4, Walianza kunikata mwaka 2013 kiasi 47,000/= kwa mwezi ambayo ni saw a na 56,4000/= per year.

Mwaka 2014 inaongezeka riba 6% ambayo ni sawa na 624,000/=

Riba ni kubwa kuliko makato ya mwaka mzima maana yake mwaka mzima wa 2013 ni kama sijalipa kitu?

Je, hili deni litaisha kweli kwa hali hii?
 
chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
8,650
2,000
Hivi naweza kununua hisa kwenye bodi ya mikopo?? Maana najua kizazi changu chote kitakula faida madeni hayatakaa yaishe, Deni liko Pale pale ata kama umekatwa me nakula faida ya maboya miaka nenda Rudi. Unalipa lakini hakuna kilicho pungua..

Serekali itangaze kwa wanaotaka kuongeza hela bodi ya mikopo ili wanafunzi wote wapewe mikopo na SISI tule hela za bure,
 
Umeona hilo yaani unakula kiulaini
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,912
2,000
Kijana mbona kama wanakulipa mshahara mdogo sana?

Iko hivi:

Kama makato ya 15% kutoka mshahara ghafi ni 47,000/=, basi mshahara ghafi wako roughly utakuwa 320,000/=.

Sasa basi:

6% (Retention Fee) kutoka kwenye 10,000,000/= unayodaiwa ni kama 600,000/=.

Ina maana mshahara wako hautoshi hata kulipa retention fee kwa mwaka.

Kwa huo mshahara wako haukupaswa kukatwa 15% bali inabidi calculation iwe modified ili kuendana na mshahara wako.
 
NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,452
2,000
Acha kudanganyana nyie, mmevurugwa na madeni.

Mkopo ukianza kupungua haupandi tena.#sitapiga-kira-milele
 
Davan

JF-Expert Member
Jun 15, 2020
1,127
2,000
Kijana mbona kama wanakulipa mshahara mdogo sana?

Iko hivi:

Kama makato ya 15% kutoka mshahara ghafi ni 47,000/=, basi mshahara ghafi wako roughly utakuwa 320,000/=.

Sasa basi:

6% (Retention Fee) kutoka kwenye 10,000,000/= unayodaiwa ni kama 600,000/=.

Ina maana mshahara wako hautoshi hata kulipa retention fee kwa mwaka.

Kwa huo mshahara wako haukupaswa kukatwa 15% bali inabidi calculation iwe modified ili kuendana na mshahara wako.
Mwaka 2013 makato hayakuwa 15% ujue hilo.
Hiyo 15% imekuja juzi tu
 
Davan

JF-Expert Member
Jun 15, 2020
1,127
2,000
Kijana mbona kama wanakulipa mshahara mdogo sana?

Iko hivi:

Kama makato ya 15% kutoka mshahara ghafi ni 47,000/=, basi mshahara ghafi wako roughly utakuwa 320,000/=.

Sasa basi:

6% (Retention Fee) kutoka kwenye 10,000,000/= unayodaiwa ni kama 600,000/=.

Ina maana mshahara wako hautoshi hata kulipa retention fee kwa mwaka.

Kwa huo mshahara wako haukupaswa kukatwa 15% bali inabidi calculation iwe modified ili kuendana na mshahara wako.
Hapa umejiona mjuaji sana kumbe hujui kama 15% ilikuja baada ya sheria ya 2016
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom