mi ni mwalimu, wiki iliyopita mwanafunzi wa kike form three, kanifata na kuniambia anataka kunipa zawadi, nkwamwambia poa tu, zawadi aloniletea nilichoka, maana alinletea chupi aina ya boxer 3, vituko vya wanafunzi navipata sana lakini infact sitaki kabisa mambo hayo yanavunja sana heshima ingawa mwaka juzi maji yalizidi unga msichana wa form 5, alini trap hadi nika haribu lakini huwa najilaumu hadi leo kwa kufanya vile na nikatubia na nikaahidi kutorudia tena, jamani mniombee nibadilishe kazi naona hii nilonayo sio sio......