Hii kazi nimeipenda sana ya kuvusha vimwana

Hii kazi nimeipenda sana ya kuvusha vimwana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
04_11_h9faya.jpg

Mkazi wa Kijiji cha Malowa, Kata ya Kibati, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Mwanahawa Rashid (katikati) akiwa amebebwa na kijana anayefanya shughuli za kuwavusha wananchi ndani ya mto Mjonga baada ya daraja la Mto huo kubomoka kutokana na mafuriko ya mvua iliyonyesha Machi 23. Kulia ni mkazi wa Kibati na Kijana mwingine akimvusha mtoto. Daraja hilo ni kiungo muhimu kwa wakazi wa Kata ya Kibati na Diongoya, Wilayani humo.
 
were is mbunge wa jimbo hilo kero ya kutatuliwa
au bado ana machungu ya kuchakachuana kwenye chama chake
 
Ndio yeye alipokuwa anaomba kura alikuja na mipango kibao sasa kero kama hizi angetakiwa azitatue poleni wana Mvomero kwa kuingia mkenge wa wasanii wa mujini

Tayari ni out going MP mwenyewe naingia, kwa nguvu ya umma.
 
yaani huko mkongoni nakwa mbele kwenye shafti ni FULL charge!
 
hahaha!!unaweza kumbebaa mrembo asipo kulipaa ukamuachaa.ila dume mwezako lazimaa kungechimbikaa
 
20% alishamaliza,alisema cheki maisha ya bongo yanavyotísha...watu hawana hata muda wa kupumzika
 
Halafu binti aliyebebwa inaonekana ni kituu kilichoiva, siyo mchezo!
 
Mbunge hana magic kutatua mambo kama haya.Serikali ilipaswa kuwa na mpango wa kujenga au kuimarisha madaraja/miundombinu.

Mbunge ana fungu gani kwa mambo makubwa kama haya? Atakachowezafanya ni kukusanya taarifa ya kero na kushinikiza tu.
 
Back
Top Bottom