msani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 1,801
- 1,191
Kuna mdogo wangu ameomba kazi kampuni ya Regen Consultancy, sasa ameitwa kwenye interview ila cha kushangaza ameniambia kaka nipunguzie pesa kwani tunalipia 20,000 kwanza na usipolipia haungii kwenye interview.
Sasa ni kweli hawa watu wanaaminika maana najua maelfu ya watu watatuma hizi hela ambazo ukizikusanya ni nyingi sana.
Msaada kabla sijamruhusu atume.
Sasa ni kweli hawa watu wanaaminika maana najua maelfu ya watu watatuma hizi hela ambazo ukizikusanya ni nyingi sana.
Msaada kabla sijamruhusu atume.