Inawezekana kabisa kwamba Nyalandu,ameitwa,lumumba.ccm hawakutaka kumtibu Lisu ili afe,wasingizie,walikua wanangoja barua ya familia yakuomba atibiwe,akiwa muhimbili,damu ikamwishia akafa,wakati polisi wakiwa bize kukimbiza watu wenye fulana za chadema wasimchangie damu,na kuzuia maombi kwa risasi za moto !!!! Sasa Nyalandu kuonyesha kwake huruma,na kujitoa kwa hali na Mali kumuokoa Lisu,hiki ni kisu chenye ncha kali sana myoyoni mwa watawala,waliotuma wauwaji,na jaribio lisifanikiwe !! Hapo Nyalandu atasingiziwa kama sio kushushiwa tuhuma kubwa ambayo ita tikisa amani nchini.au nayeye risasi kadhaa zitatengwa kwa ajili yake !! Muda ni mwalimu,tusubirni.Mungu waaaaaangu,epusha kila mtu atakayekabiliwa na ccm kwa wema wake wowote,kwa wanao onewa kuuwawa na kuteswa na mtawala,weka alama usoni mwa watu wako,ccm isiwatambue na kuwauwa.Mungu naomba kwa kila jinsi na kila lugha ila maana yangu nikukuomba usimamishe umwagaji wa damu nchini,na kuleta amani na utulivu,ktk jamii yetu tena,Amen.