Hii kauli ya Magufuli "Polisi ueni Majambazi", imenitisha sana

Pia na anayekwapua Mali ya umma KAMA Chenge na Tibaijuka...? majambazi sahihi ila ni Wengi Mno Hasa wale wasiokuwa na bunduki serikali!!
 
9dbbfbad64d09dfddf280a9b1705596e.jpg
 
Magu hapo sawa ila wapo majambazi Wengi serikalini ulala nao Mbele! harafu Tumshauri mswada wa jana wa billion moja kuwa Halali ni ujambazi. kwani mwl Nyerere billion aliimiliki! Chunguza na Hili bunge mkuu
 
Nyang'anya SILAHA HARAKA HARAKA... tumekuelewa sana Mh. Rais Magufuli...!!

Haraka chukua SILAHA YA JAMBAZI...!! Ptuuuuuuhh ptuuuuhh...!! Ptuuhhuu ppweuuuhh..!! ✔✔✔♻

Mh. Rais Magufuli wananchi tunakupenda mno..!!
 
Na askari wetu walivyokuwa weupe vichwani wataenda kuwanyang'anya silaha majambazi kweli na kwenda kupandishwa vyeo ahera.
 
Nimeipenda hii sentence ya kuwakamata harakaharaka

Mijambazi ina boa sana watu tuna amka saa 4:30 alfajiri kutafuta maisha alafu lijitu linakuvizia getini lina kupora na saazingine yana ua kabisa, wacha ya nyang'anye bunduki harakaharakatu, tena kwa mwendo kasi.
 
Ni kweli mkuu watu tunalala usingizi wa mang'amung'amu ndani ya nchi yetu bana
 
Back
Top Bottom