Hii kauli mbiu ya akina Jamal Malinzi na Wateule wake wa Kamati ina tija?

Nali alitoa hiyo kauli mbiu? alikunywa mataptap au!

si bora ata wangesema "pamoja tunaweza" au "mafanikio ni vijana" au "vijana wanaweza" au "mpira ni vijana"
 
Nali alitoa hiyo kauli mbiu? alikunywa mataptap au!

si bora ata wangesema "pamoja tunaweza" au "mafanikio ni vijana" au "vijana wanaweza" au "mpira ni vijana"

Rais wa TFF na Wapuuzi wenzie wanaopenda kutufanya sisi Watanzania ni Wapumbavu kila uchao.
 
Tatizo umelipokea sivyo michuano ya vijana Africa wanayokwenda kushiriki Serengeti boys huko Gabon inashirikisha timu nane na timu NNE zitakazofuzu kuingia nusu fainali zitafuzu outomaticaly kombe la dunia la vijana na huu ndo msingi wa kauli mbiu hiyo kwa maana itawapa motisha kuhakikisha wanafanya vyema ili wafike hatua ya nusu fainali na kupata chance ya kushiriki michuano ya under 17 wordcup
 
Binadamu tunatofautiana kwenye kufikiri, usitake unavyofikiri wewe kila mtu afikiri ivo ivo
 
Malinzi Yanga alifeli,kwenye ndondi pia alifeli na sasa TFF imepoozesha mpira kuliko wakati wote.
 
Back
Top Bottom