Hii kauli imeshangaza wenye akili. Kwamba ukifungwa kwa jinai na ukawa na koneksheni na Makonda unaachiwa huru!

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Makonda ana uwezo kumsaidia mfungwa Yoyote akaachiwa huru.

Eti alipambania penzi la Majizo! Huku wasio na Konekseni wanasota jela.

Kauli ya ajabu sana na isiyofaa
Screenshot_20260315-151213.jpg
 
Moja ya sababu kuu ninayomuunga mkono Tundu Lissu ni kwa sababu naamini mfumo wa haki, sheria na Mahakama wa Tanzania inabidi ufumuliwe wote na kujengwa upya. Namuona Lissu kwa "passion" yake kwenye masuala ya haki na sheria, akipata huo upenyo hilo linaweza kuwa moja ya vipaumbele vyake.
 
Makonda ana uwezo kumsaidia mfungwa Yoyote akaachiwa huru.

Eti alipambania penzi la Majizo! Huku wasio na Konekseni wanasota jela.

Kauli ya ajabu sana na isiyofaaView attachment 3558143
Mtu akitubu hautakiwi kumkemea au kumwambia "anasema maneno yasiyofaa".

Halafu kama ulikuwa mjini kipindi kile, hili linajulikana kuwa Majizo alipewa Lulu na Makonda.
 
Moja ya sababu kuu ninayomuunga mkono Tundu Lissu ni kwa sababu naamini mfumo wa haki, sheria na Mahakama wa Tanzania inabidi ufumuliwe wote na kujengwa upya. Namuona Lissu kwa "passion" yake kwenye masuala ya haki na sheria, akipata huo upenyo hilo linaweza kuwa moja ya vipaumbele vyake.
TL pekeyake hawezi, tutamlaumu bure tu.

Tunatakiwa tupate akina Lissu kama 20 hivi kwa kuanzia.
 
Back
Top Bottom