Hii katuni ya Kipanya hatari, sio kwa mbeleko hii

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,886
IMG-20170322-WA0000.jpg
 
Hili si la uongo, mi nakereka watu wamefukuzwa kazi tena wengine wakiwa watendaji na watumishi wazuri kabisa, kisa vyeti vyao vina kasoro na vingine havionekani . Leo Bashite aliyetaga na kudandia vyeti vya mtu mwingine ni shujaa wa mkulu????!!! (DOUBLE STANDARD)
 
Mmh!
Ina ujumbe mzito sana na wenye Ukweli.
Magufuli na Makonda wanamvutia kasi Masoud Kipanya, ipo siku ataingia kwenye mtego wao na hapo atakiona cha moto.
Msiwe mnawatisha watu, wamfanyie watakachotaka kwani wao wao wataishi milele?
 
Hiyo mbeleko tatizo kaifunga shingoni. Mwisho wa siku itasababisha ajiue mwenyewe kisa kuogopa baby wake asilowe maji.

Hatari sana.
 
Back
Top Bottom