Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,909
Usilazimishe, hauongei na chadema hapa.. hizo stress zako deal nazo kwa namna nyingineMission already proved failure Buda. Haiwezekani chama chenye wanachama zaidi ya seven milion( according to CHADEMA ni wakose msingi) watu milioni moja wa kuwachangia jero jero ndani ya 24 hrs!? Hiyo nguvu yenu ya Umma ni ipi!?
Sent using Jamii Forums mobile app