Hii kali.....

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
446
Hii kali..... watu wengi walio kwenye ndoa husevu namba za wapenzi wao wa nje kwa majina ya ajabu ajabu,siku moja jamaa kaacha simu mezani kaenda kuoga, mara demu wake wa nje akapiga, mkewe akaangalia halafu akaikimbiza kwenye chaji, kumbe mumewe alimsevu demu wake "low batter"
 
Back
Top Bottom