Cc nyani ngabuKila mtu na maisha yake.....anakaa kwao wewe inakuuma nini?
Hama nyumbn.miaka zaidi ya 30 unatetea ujinga?kama wazazi wako wanakupenda san waombe mtaji kuliko kula na kulala bure hapo hm.Yeye kukaa kwao na kula hela za Wazazi wake wewe unaumizwa na nini?
Waafrika tuache tabia za kimaskini za kuona anayeishi nyumbani kwao hana malengo yoyote.
ulitaka kumaanisha 'ENOUGH'???
Dah...kukaa kwenu siyo tatizo....tatizo unafanya nini ili tujenge nchi?[emoji41]Kila mtu na maisha yake.....anakaa kwao wewe inakuuma nini?
limekugusa aiseee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu kiuhalisia maisha hayapo hivyo aisee,wewe pambana tu na hali yako,hautakiwi kuishi kwa ajili ya watu wengine,ishi kwa ajili yako na utafanikiwa,kukaa na kuumiza kichwa juu ya nani anaishi wapi na anafanya nini wakati wote mnapambania ku`survive,huo nao ni ujinga kama ujinga mwingine,utacheleweshwa sana ukianza kuumiza kichwa kwa ajili ya watu wengine wanavyoishi,pole sana!
unawaza nn wakati unaishi kwenu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yeye kukaa kwao na kula hela za Wazazi wake wewe unaumizwa na nini?
Waafrika tuache tabia za kimaskini za kuona anayeishi nyumbani kwao hana malengo yoyote.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] imeingia kumoyoKila mtu na maisha yake.....anakaa kwao wewe inakuuma nini?
xaxa unataka uletewe kazi nyumbani au[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pambanapale unapopata pa kushika na kushiba baada ya kushikwa mkono,fikiria tu umemaliza chuo,hujapata kazi na mtaji huna...wahurumieni wenzenu,kama we mkali wa kuchakarika acha hiyo ajira halafu anza from the scratch kutafuta ingine tuone
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] au sio bropambana na hali yako.
Waache nao watapambana na hali zao.
Fainali uzeeni.
Au kuna MTU anakutegemea ndo umekuja kumsema humu.
Umenikumbusha machungu, ngoja nilie nitarudi
umepanic bro [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nani hakupe deal xaxa pambanaMkuu wana kukaa kwa mama zao, ku roll na ndinGa za Baba zao inaonekana imekuuma sana but TRUST ME mtu kukaa kwao sometime ni mfumo tu coz kuwahi kuondoka kwenu halafu uishi maisha kama chokoraa SIO UJANJA ni UFALA kiwango cha drimulaina.....
Hawa OMBAOMBA tunaowaona Ubungo, Mbagala, Temeke na kwingine mjini wana kwao, na huenda wangeweza kupata hifadhi na sio kuja kulala barabarani, Nje, kuwa wezi na kufa kizembe....
NOTE: Muhimu ni mtu ajue ni wakati gani yuko tayari kuondoka kwao na yeye pekee ndio anaujua huo wakati..
ACHA KUWAPANGIA WATU MUDA, wewe cheza na Time Zone yako usifosi mfanane...ukitaka waondoke kwao wape deals na sio kuleta porojo za kifala.
Wewe inakuhusu nini?Dah...kukaa kwenu siyo tatizo....tatizo unafanya nini ili tujenge nchi?[emoji41]
Umenena mkuuUkitaka kuishi maisha marefu na yasiyo na stress daima ishi kama vilevile upo peke yako humu duniani!
Usijali wala kufatilia nani anaishi wapi,anaisha vipi ananizidi nini au anaiingiza sh. Ngapi ..hutajuta na utaenjoy sana maisha haya mafupi! Otherwise utakufa kwa kihoro siku si zako!
Pilipili iko shamba...[emoji3] [emoji3] [emoji3] imeingia kumoyo