Hii ingetokea Bongo sijui ingekuwaje?

hahahaha. na ndio maana hilo jaribio alikufanyaka bongo
Mkuu yani mtu unahangaika kila siku unaenda kazini mpk soli ya kiatu inaisha upande mmoja unatafuta hela!.. hela yenyewe ukiipata leo kesho imeisha then mtu anakuja na mlungula Kama huo uutoe humo!.. what a shit!!.. kila siku unahangaika kuitafuta then bahati iliyoje jamaa wameleta pesa ndefu kinyama niende wapi sasa na hela hiyo hapo..?
Yani nahakikisha nalala hapohapo sitoki hivihivi maana nnachokitafutaga kipo humo na kazi nnayofanya siwezi lipwa kiasi hicho hata nikistaafu so where did i have to go Kama sio kulala hapohapo nikikomaa kuvunja kioo..
Achana na hela wewe kitu tamu hiyo..😂
 
Hapa bongo inachukuliwa na hicho kioo mazima mchana kweupe watu wakagawane mpunga
 
hapo wanaume tunakuja usiku na mashine ya kukatia chuma tunabeba hyo kabati yote ya kioo kwa kukata vyuma vilivyoibebe then tunailaza chini tunachukua bulldozer ile ya meno meno ipite juu yake kaz kwsha
 
Hawakuweka option ya kuondoka nalo ila najua pesa ilikuwa fake ukivunja unapewa hicho kiasi
 
Hawakuweka option ya kuondoka nalo ila najua pesa ilikuwa fake ukivunja unapewa hicho kiasi
Ni kweli,kwanza kulikuwa na walinzi huwezi kuvunja vigezo na masharti,lakini katika hio hela ni kiasi fulani tu ndio ilikuwa hela halisi,ila ukifanikiwa kuvunja unapewa hela zako safi
 
Izo ela zingeibiwa kabla hata hawajaziweka kwenye kioo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…