Hii ingetokea Bongo sijui ingekuwaje?

M nahisi bongo kungekuwa na foleni ya watu kupiga nyundo na mateke,na isingechukua zaid ya lisaa watu wangeondoka na kitita kiulaiinii!

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hata huko foleni ilikuwepo kumbuka waliweka stendi ya mabasi,ila walikimbia wenyewe
 
Hicho lazima ni KIOO CHA ASILI au KIOO CHA JAMII

unataka kuniambia hata mtama wa adam bange usiweza kukivunja kweli!!?
 

Kuleta kitu kama hicho Afrika ni kutafuta maafa, watu wangefia hapo, kwa kukanyagana na wengine kupasika mikono na vichwa baada ya kupiga kioo vichwa siku nzima.
 
Kuleta kitu kama hicho Afrika ni kutafuta maafa, watu wangefia hapo, kwa kukanyagana na wengine kupasika mikono na vichwa baada ya kupiga kioo vichwa siku nzima.
Uroho ndio ungewaua[emoji3]
 
Hivi mwizi huwa anambinu moja tu..? Sasa mi nakomaa na lock tu..😅
Kama ni hivyo ya nn nyundo, si unaandaa plan ya kuiba funguo tu. Hapa wanakuonyesha kuwa kioo hakivunjiki si kuwa huwezi kuibiwa.

Hiyo ni kampuni ya ulinzi ya vioo. Wanaonyesha uimara wa vioo. Kumbuka kioo ni kwa ajili ya display ya vitu ss wanakuonyesha ni kwa namna gani ukidesplay vitu kama jewries n.k mtu wa kawaida hawezi vunja akakwapua.

Ila kuibiwa unaweza ibiwa tena kwa kufungua mwenyewe na kumpa jambazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…