hahahahahahahaYani hapo hata nikishindwa lzm wanitoe kwa mtutu wa bunduki siwezi kukubali kirahisi hivi ati niruke mateke mawili tu then niondoke!,niende wapi nawakati mlungula uko hapo tena ikibidi nalala hapohapo..😅
Mambo mengine ni kujaribiana kwa imani yaani kama Shetani alivyomjaribu YesuMwaka 2005,Huko Vancouver Canada.
Kampuni ya Vioo ya Ulinzi (3M security Glass) walifanya tangazo la aina yake kwa kuweka kioo kigumu kisichopitisha risasi katika stendi ya mabasi na kuweka ndani yake kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 7(dola Mil 3).
Yeyote ambaye angefanikiwa kuvunja kioo hicho kwa kupiga,ngumi, teke kukimbia na kukiparamia au hata kutumia nyundo ile pesa ingekuwa halali yake ila hakuna aliyefanikiwa.
Je ingekuwa bongo sijui ingekuwaje?View attachment 1540034View attachment 1540035
[emoji23][emoji23]Yani hapo hata nikishindwa lzm wanitoe kwa mtutu wa bunduki siwezi kukubali kirahisi hivi ati niruke mateke mawili tu then niondoke!,niende wapi nawakati mlungula uko hapo tena ikibidi nalala hapohapo..[emoji28]
Ulitengeneza wewe acha ugumuMasharti ni kioo tu
Makonda angewatuma wasiojulikana kuhakikisha wanaondoka na hicho kiooMwaka 2005,Huko Vancouver Canada.