Indosat ni kwa PC mkuu
Charles kikoti , kwa simu kuna
Droidvpn na
Psiphon zote zinapiga mzigo fresh kama ukiziconfigure ipasavyo.
Ningeweza zitoa bure sema watu sio waaminifu watafanyia biashara tu huko kitaa na kuifanya trick iwe yebo yebo ndiyo maana tunakula kimya kimya.