Hii inawahusu watumiaji wote wa PC

Hiyo huduma nyingine itatumika hadi kwenye cm?

Kama una simu inabidi ufanye tethering kwa computer yako kutokea kwenye simu then unapiga mzigo kama kawa.

Ila kwa kutumia simu kama simu inakuwa haiwezekani kiongozi.
 
Indosat ni kwa PC mkuu Charles kikoti , kwa simu kuna Droidvpn na Psiphon zote zinapiga mzigo fresh kama ukiziconfigure ipasavyo.

Ningeweza zitoa bure sema watu sio waaminifu watafanyia biashara tu huko kitaa na kuifanya trick iwe yebo yebo ndiyo maana tunakula kimya kimya.
 
Hahahaa, umenikumbusha msemo wa vijana ule ya kuwa "raha ya mwizi anatakiwa kukimbizwa kimya kimya'' lazma ajiulize mara mbili mbili, heh heh.

Hatari sana mkuu.

Ndugu zangu ndo wote mmegoma kutuelekezaa jonc ya kuselelekaaa na internet. ....???
 
Yule wa 6500 anicheki anipe maelezo ninashawishika kidogo naona kama nafuu. Namaanisha anaetoa huduma hiyo ya internet kwa 6500.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom