Hii inawahusu watumiaji wote wa PC


KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
5,090
Likes
3,226
Points
280
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
5,090 3,226 280
Hiyo huduma nyingine itatumika hadi kwenye cm?
Kama una simu inabidi ufanye tethering kwa computer yako kutokea kwenye simu then unapiga mzigo kama kawa.

Ila kwa kutumia simu kama simu inakuwa haiwezekani kiongozi.
 
boaz942

boaz942

Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
20
Likes
6
Points
5
boaz942

boaz942

Member
Joined Mar 27, 2014
20 6 5
Kama una simu inabidi ufanye tethering kwa computer yako kutokea kwenye simu then unapiga mzigo kama kawa.

Ila kwa kutumia simu kama simu inakuwa haiwezekani kiongozi.
Ok nimekuelewa
 
E

Erijo

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
454
Likes
363
Points
80
E

Erijo

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
454 363 80
kaka tatizo sio jina hata nikikwambia huwezi kuipata mi mwenyewe nainunua so kama unataka hiyo software contact me
Mkuu tuwekee specific details za hiyo software tuelewe, weka na kapicha.
 
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Messages
577
Likes
117
Points
60
Age
39
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2013
577 117 60
Indosat ni kwa PC mkuu Charles kikoti , kwa simu kuna Droidvpn na Psiphon zote zinapiga mzigo fresh kama ukiziconfigure ipasavyo.

Ningeweza zitoa bure sema watu sio waaminifu watafanyia biashara tu huko kitaa na kuifanya trick iwe yebo yebo ndiyo maana tunakula kimya kimya.
 
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
5,090
Likes
3,226
Points
280
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
5,090 3,226 280
Indosat ni kwa PC mkuu Charles kikoti , kwa simu kuna Droidvpn na Psiphon zote zinapiga mzigo fresh kama ukiziconfigure ipasavyo.

Ningeweza zitoa bure sema watu sio waaminifu watafanyia biashara tu huko kitaa na kuifanya trick iwe yebo yebo ndiyo maana tunakula kimya kimya.
Hahahaa, umenikumbusha msemo wa vijana ule ya kuwa "raha ya mwizi anatakiwa kukimbizwa kimya kimya'' lazma ajiulize mara mbili mbili, heh heh.

Hatari sana mkuu.

 
diego's

diego's

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Messages
205
Likes
51
Points
45
diego's

diego's

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2014
205 51 45
Sasa mm nliko sina cha 4G, 3G, wala H+ kwahiyo cjui mi inakuaje?
 
jem_the_great

jem_the_great

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
217
Likes
30
Points
45
jem_the_great

jem_the_great

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
217 30 45
Service ni 6500 Tsh achana na huyo tapeli wa Mwanza elf 15 ni pesa nyingi kwa unlimited ya aina hiyo mkuu.

Usikubali kununua kwa bei hiyo.
Mkuu nimeku pm naona kimya
 
Babu_Jr

Babu_Jr

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Messages
116
Likes
26
Points
45
Babu_Jr

Babu_Jr

Senior Member
Joined Apr 13, 2016
116 26 45
Ndugu zangu ndo wote mmegoma kutuelekezaa jonc ya kuselelekaaa na internet. ....???
 
Askari Muoga

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
6,136
Likes
4,529
Points
280
Askari Muoga

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
6,136 4,529 280
mnatafsiri bira vibali mnaweka mitandaoni mtadakwa
 
Charles kikoti

Charles kikoti

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
455
Likes
70
Points
45
Charles kikoti

Charles kikoti

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
455 70 45
Yule wa 6500 anicheki anipe maelezo ninashawishika kidogo naona kama nafuu. Namaanisha anaetoa huduma hiyo ya internet kwa 6500.
 

Forum statistics

Threads 1,235,314
Members 474,525
Posts 29,217,809