Hii inawahusu watumiaji wote wa PC

Hii inawahusu watumiaji wote wa PC

inaitwaje?

Mkuu, kwani ungependa akupunguzie kwa shilingi ngapi kiongozi...?.

Naweza nikakuelekeza huduma nyingine nzuri zaidi ya hiyo na kwa bei nafuu tu kiongozi.
 
Swali langu moja Mjukuu wangu
Naweza share hyo network kwa Computer zaidi ya moja?
ku share mbona simple
1plug in modem yako
2, connect utp cable kutoka kwenye pc yenye net mpaka kwenye switch au computer nyingine
3, click kwenye network then right click hiyo dialup itafunguka dial box ndogo
3, chagua Tab ya share kwenye share with chagua local area connection
4 allow other netwirk computer..............
5, home network connection chagua local area connecrion
 
blogmaster unadanganya sharing unaweza fanya nishafanaya wireless na utp home jana tu bandle tu nime share 2computers jwa 1modem halotel 18GB night

Mkuu, huyu jamaa nadhani hana uelewa sana na haya mambo kiongozi.

Kwa sababu kuna baadhi ya posts zake mbili tatu nimetembelea nimeona tu uelewa wake jinsi ulivyo bado kidogo.

Na hata hiyo service anayofanya gharama zake ni kubwa mno coz kuna mtu mi namjua anafanya kwa 6500 Tsh tu per month.

Sasa nilivyoona hii ya elf 15 kwake nimeshtuka sana aisee ila kiukweli kwa service ya unlimited internet yupo mtu anafanya for 6500 only.
 
Weka No zake mkuu basi

Dah, mkuu siwezi weka jukwaani bila ya ridhaa yake itakuwa si busara kiongozi.

Kwa sababu hata yee mwenyewe amepita kwenye huu uzi ila hajataka kuacha namba nafkiri angekuwa anafanya business kwa tamaa kama ndugu yetu blogmaster hapa angekuwa ameshaacha namba zake kiongozi. Ila jamaa hafanyi kwa tamaa na bei yake ni reasonable kabisa.
 
Mkuu, huyu jamaa nadhani hana uelewa sana na haya mambo kiongozi.

Kwa sababu kuna baadhi ya posts zake mbili tatu nimetembelea nimeona tu uelewa wake jinsi ulivyo bado kidogo.

Na hata hiyo service anayofanya gharama zake ni kubwa mno coz kuna mtu mi namjua anafanya kwa 6500 Tsh tu per month.

Sasa nilivyoona hii ya elf 15 kwake nimeshtuka sana aisee ila kiukweli kwa service ya unlimited internet yupo mtu anafanya for 6500 only.
Weka contact zake
 
Weka contact zake

Inakuwa si vizuri mkuu bila ya radhaa yake ikiwa yee mwenyewe amepita kwenye huu uzi kiongozi.

Angehitaji kuacha mawasiliano yake angeweza kufanya hivyo mkuu, sasa kama hajafanya hivyo then mi mtu wa pembeni nije kuweka namba bila ya ridhaa yake inakuwa si uzuri mkuu.

Shukran.
 
Mkuu, huyu jamaa nadhani hana uelewa sana na haya mambo kiongozi.

Kwa sababu kuna baadhi ya posts zake mbili tatu nimetembelea nimeona tu uelewa wake jinsi ulivyo bado kidogo.

Na hata hiyo service anayofanya gharama zake ni kubwa mno coz kuna mtu mi namjua anafanya kwa 6500 Tsh tu per month.

Sasa nilivyoona hii ya elf 15 kwake nimeshtuka sana aisee ila kiukweli kwa service ya unlimited internet yupo mtu anafanya for 6500 only.
Duuh limebuma!
 
Pia natafuta kioo cha Sony VAIO model PCG-3J1L kwa anayeweza kikipata naomba ani PM.
 
Mkuu, huyu jamaa nadhani hana uelewa sana na haya mambo kiongozi.

Kwa sababu kuna baadhi ya posts zake mbili tatu nimetembelea nimeona tu uelewa wake jinsi ulivyo bado kidogo.

Na hata hiyo service anayofanya gharama zake ni kubwa mno coz kuna mtu mi namjua anafanya kwa 6500 Tsh tu per month.

Sasa nilivyoona hii ya elf 15 kwake nimeshtuka sana aisee ila kiukweli kwa service ya unlimited internet yupo mtu anafanya for 6500 only.
mdau naomba unisaidie mawasiliano yake PM niweze kujiunga aise duuuu
 
Back
Top Bottom