Hii inawahusu wanaume wote

Hii inawahusu wanaume wote

Wanaume na nyie mitandao inawaharibu. Hizo size mnazitoa kwenye mitandao ndo zinawafanya mjione mna size ndogo mnahangaika weee na dawa ambazo zina madhara.

Hivi ukijiamulia saizi hii hii nakomaa nayo ***** zake na maufundi naongeza mpaka kieleweke si utakuwa mwanamme wa nguvu.

Achaneni na saizi ya uume. Angalieni game hapo ndo mnafeli.
 
Shibe na pumzi ni muhimu sana pia hata kama unadushe la kupasulia miamba kama huna ivyo vitu dushe linakuwa mzigo tu chamsingi ni uume kuwa unasimama imala bira kujali ni mfupi mrefu mnene au mwembamba na pumzi ya kutosha basi mengi ni ziada tu
 
Sio isimame tu. Minara pia inasimama mbona. Lazima mjue kutofautisha.
 
Hivi kuna inches 2.5, 30 kweli,
 
Hakuna mwenye 30 inches,hata utumie dawa haiwezi kuzidi 15 inches.Watu wenye 30 inches wangekuwepo hapa duniani wangeonekana live coz wasingeweza kuvaa suruali pia machine inge gusa au ingekaribia kugusa ardhi.
Lastly:uwezekano wa kuwepo watu wenye 2.5 upo.
 
[emoji23] [emoji23] hata wewe inakuhusu kilichoongelewa hapa ni sex baina ya watu wawili(mke na mume) na sio individual sex(masturbation)
Mimi hainihusu maana mimi sina mshedede.... Na hapo naona mmeongelea size za mishedede
 
Back
Top Bottom