asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
hapo kwenye blue nadhani umemaliza , kitandani mwanaume anatakiwa aende extra mile zaidi ya dushulele lake kumridhisha mwanamke ,kwahiyo kibamia siyo ishu ya kucheat kwa mwanamke kama she is not teja wa mikono ya mtoto na kwanini mwanamke zako ziwe size ya punda halafu unang'ang'ania kumilikiwa na mtu mwenye kibamia?Hiyo unasema wewe kuhusu kutumbukizwa almradi kiitwacho Dushelele,
Lakini iko hivi, Daima pennye ukweli ni lazima tuseme.
Kwenye 6*6 Inategemea na uandaaji wa mwanamke japo vipisi huwa havipewi kipaumbele.
mapenzi sio hela!sidhani kama wewe uko na mtu wako sababu ya hela tu,kama mapenzi yangekuwa ni hela mabillionea wasingejiingiza kwenye mapenzi that z what i think!
mapenzi sio hela!sidhani kama wewe uko na mtu wako sababu ya hela tu,kama mapenzi yangekuwa ni hela mabillionea wasingejiingiza kwenye mapenzi that z what i think!
hapo kwenye blue nadhani umemaliza , kitandani mwanaume anatakiwa aende extra mile zaidi ya dushulele lake kumridhisha mwanamke ,kwahiyo kibamia siyo ishu ya kucheat kwa mwanamke kama she is not teja wa mikono ya mtoto na kwanini mwanamke zako ziwe size ya punda halafu unang'ang'ania kumilikiwa na mtu mwenye kibamia?
madame B[/COLOR]
mkuu Erickb52 karibu sana ,wanasema yetu shurti tugeuzwe ATM
watu wanfanya biashara ili wapate pesa kwa hiyo tunaweza sema mapenzi ni biashara?Mapenzi ni Pesa kubali au kataa joyness.
BINAFSI MIMI NIKO NA MPENZI WANGU KWA AJILI YA PESA, UNAFIKIRI NITAKULA NA KUVAA NINI,
Mabilionea wako ktk mapenzi kwa sababu kitu mapenzi ni lazima kwa kila mwanaume na mwanamke Rijali.
Labda tu uwe na udhahifu fulani,
Msitake kutudanganya eti mpenzi wako hujampendea Pesa.
Ushamkomba, Ushafungua Mradi sasa ndo unaanza kusema Pesa haina nguvu ktk mahusiano, Tuache na Sisi Tuvune.
Halafu nyie wadada huwa mnaniudhi sana...
Haswa nyie mnaopenda sana fedha na kujionesha kuliko kuonesha mapenzi ya dhati...
Mnavifanya hivyo vitobo vyenu mali sana eenh, kila anayetaka kupekecha nyie mwampa tu kisa ana hela...
Mnajidhalilisha tu, siachi kuwafananisha na KINU mtama mwatwanga, kisamvu mwatwanga, karanga mwatwanga....
Watu wazima hovyoooo, msione mwanaume ana pesa mshaanza mwandama kama nzi na kimba kichakani!!
.......Mtukome.......
Na wataendelea kutuoa na huo ubahili wao, na sie tutaendelea kucheat nje kama kawa (Ila kwa tahadhari), mpaka wanyooke.
ukisikia paaaaaaa!..........
Huwezi chapa lapa Erick!!! teh!
kwahiyo hapo kwenye bluu hampatagi ambao sio wa bahili ili muache kucheat? pole sana kama unaowapata wote ni wabihili!
Mapenzi ni Pesa kubali au kataa joyness.
BINAFSI MIMI NIKO NA MPENZI WANGU KWA AJILI YA PESA, UNAFIKIRI NITAKULA NA KUVAA NINI,
Mabilionea wako ktk mapenzi kwa sababu kitu mapenzi ni lazima kwa kila mwanaume na mwanamke Rijali.
Labda tu uwe na udhahifu fulani,
Msitake kutudanganya eti mpenzi wako hujampendea Pesa.
Ushamkomba, Ushafungua Mradi sasa ndo unaanza kusema Pesa haina nguvu ktk mahusiano, Tuache na Sisi Tuvune.
watu wanfanya biashara ili wapate pesa kwa hiyo tunaweza sema mapenzi ni biashara?
hapo kwenye blue inamaana bila mpenzi huwezi kula vizuri wala kuvaa vizuri? kama ni hivyi ndivyo wanawake wengi mnaakili hiyo basi ile kauli mbiu ya mkiwezeshwa mnaweza basi ni halali yenu.
Ndipo hapo ninaposhangaa mimi,
Uko na mwanaume ndani...Hana Pesa, Hajui mapenzi....Hajui kunipetipeti, Kwa nini nisimgeuze Godoro,
Ndo Maana nawaambia Hao wanaume, Kama Unajijua Huna Uwezo wa Kummiliki Mwanamke wa type flani, Basi usijitutumue usije ukatoka na Vigimbi vya Uso Bureeeeeee..........!!!!!!!!,
We Chapa Lapa Tutakutana Sokoni.
hapo kwenye blue madame b i concur with you ,ila kusema mtu bahili tu hainiingii akilini kama ndiyo inahuu
no madame nafikiri tofauti so u mean bila mwanaume mwanamke hawezi ishi maisha mazuri??tuna mikono,tuna akili,tuna nguvu na tunaweze bila kuwezeshwa, tena pengine tunaweza zaidi yao.hapo kwenye blue inamaana bila mpenzi huwezi kula vizuri wala kuvaa vizuri? kama ni hivyi ndivyo wanawake wengi mnaakili hiyo basi ile kauli mbiu ya mkiwezeshwa mnaweza basi ni halali yenu.
Hilo swali jiulizeni nyie msiopenda kuwapa Pesa wapenzi wenu.
Kutokuwa na Kazi ndo hatua ya kuelekea kwenye ubahili ndugu,
Kwa hiyo Umesaluti!!!!!!!
Kutokuwa na Kazi ndo hatua ya kuelekea kwenye ubahili ndugu,
Kwa hiyo Umesaluti!!!!!!!